vijana wengi tumegundulika kuwa na msongo wa mawazo katika umri mdogo, mara nyingi hatuna njia ya kukabiliana na hili tatizo.
Ungana nasi kila jumapili tukiongelea njia mbali mbali za kukabiliana na maisha.
Nimejaribu uliza, Kwa waliofunga ndoa
Waweze kuniongoza,Nami nipate kuoa
Nikaambiwa tongoza,Mambo yatakuwa poa
Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako
Wanaume tuna tabu, Tutafutao ni sisi
Waeza pata aibu, Kwa tamaa kama fisi
kwanza piga mahesabu, Usitake vya upesi
Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako
Mapenzi yakuridhisha, Kuyapata si rahisi
Kwa kweli inatutisha, Na kutupa wasiwasi
Maana ndio maisha, Ya kila mtu binafsi
Mapenzi yanakanganya,Hatujui yatokako. HAMZA A MOHAMMED
7 Sept 2020
tribute, wakanda forever👐🏿
kufungua fikra zaidi kuhusu kifo, biblia na maisha ya sasa “Whatever you choose for a career path, remember the struggles along the way are only meant to shape you for your purpose"..... Chadwick Boseman
6 Jun 2020
kwann tuna "KWAMA"
mara nyingi katika maisha tunapitia misukosuko, mitihani na majaribu mengi, kuna kipindi hatuoni hata njia ya kutokea na kuhisi tumekwama. ni muhimu kutafuta njia mbali mbali za kusaidiana bila kukata tamaa
Host of ali na marafiki?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.