Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii.... Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoigusa jamii moja kwa moja ambazo zimerahisishwa, kufafanuliwa vizuri na kuchambuliwa kwa namna ambayo hutoachwa na shaka wala hutoachwa bila kutoelewa... FIKRA TUNDUIZI PODCAST MAARIFA ADHIMU YA KUJENGA JAMII.

FIKRA TUNDUIZI
Claim This Podcastby VENANCE JOHN
Podcast Overview
Wengi wanaeleza na kutoa taarifa za kijamii lakini wanashindwa kuonyesha ukubwa wa tatizo hilo katika jamii.... Karibu sana FIKRA TUNDUIZI upate majadiliano, midahalo, mada, taarifa na habari zinazoigusa jamii moja kwa moja ambazo zimerahisishwa, kufafanuliwa vizuri na kuchambuliwa kwa namna ambayo hutoachwa na shaka wala hutoachwa bila kutoelewa... FIKRA TUNDUIZI PODCAST MAARIFA ADHIMU YA KUJENGA JAMII.
Language
πΈπΌ
Publishing Since
10/8/2020
1 verified contact email on file for FIKRA TUNDUIZI
Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.
Recent Episodes

December 5, 2023
Chimbuko la mgogoro wa "Hamas" na Israel
Kwanini "Hamas" hawakubali uwepo wa taifa la Israel? Huu ni uchambuzi na ufafanuzi wa kina kutoka katika mitazamo miwili. Mtazamo wa kwanza ni wa kidunia Mtazamo wa pili ni wa kiroho; ambapo Biblia ilishatabili juu ya vita hii.

June 1, 2022
Unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni
<p>Sheria za Tanzania ni madhubuti kiasi gani kudhibiti unyanyasaji mtandaoni</p>

January 9, 2022
Kujiuzulu kwa spika wa Tanzania Job Yustino Ndugai
<p>Baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuandika barua ya kujiuzulu mengi yamesemwa, wengine wakipongeza kwamba huo ni ukomavu wa kisiasa, wengine wakisema ni sahihi kwa kuwa ni uwajibikaji kwa kiongozi huku wangine wakisema utaratibu haujafuatwa kwani ameandika barua kwenda kwa katibu mkuu wa chama badala ya barua ya kujiuzulu kuelekezwa kwa bunge.</p> <p>Bw Edwin Soko ni Mchambuzi, Mtalaam wa utawala na Mjuzi wa sheria yeye anayo maoni gani ?</p>
6 total episodes available
Deep-dive analytics for FIKRA TUNDUIZI
Frequently asked questions
Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.
- What is FIKRA TUNDUIZI?
- How often does this podcast release new episodes?
This podcast updates inactive.
- Where can I listen to this podcast?
This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.
- Does this podcast accept guests?
Information about guest appearances is not available.
Legal Disclaimer
Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.
