My podcast, my heart
All about love and beauty here
Get a free education, beauty tips and build a strong relationship from a sweet voice ever Podcaster! and other experts will be invited here so as you don't miss anything
All in one Swahili Language
Don't miss!
Follow this link for YouTube,ebooks,fish farming education etc
https://linktr.ee/Shula_missbusiness
Jinsi ya kumtambua mpenzi asiyeheshimu wala kuthamini mahusiano (Epuka maumivu!!)
Epuka maumivu
Mda mwingine tunakuwa kwenye mahusiano na watu wasio sahihi bila ya kuelewa. Na wengine tunaziona dalili na tunazipotezea kwa sababu ya kupenda mno.
Hivyo kama utaona dalili hizi kwa mpenzi wako au mtu anayekutaka kimapenzi basi Kuwa makini ongea naye mapema na kama hatabadilika ondoka kwenye hayo mahusiano.
Kwa maoni na ushauri nchek Instagram
28 Jan 2022
Kuwa makini na mapenzi ya mtandaoni sikiliza hii podcast!
Mtandaoni ni sehemu ambayo tunakitana na watu wengi na kuanzisha urafiki. Kuna mikasa mingo tunakumbana mayo na tunayosimuliwa kuhusu watu wa mtandaoni na husussani mahusiano ya kimapenzi.
Nmeandaa hii podcast baada ya kupata mikasa mingi ya kusikitisha juu ya Mapenzi ya mtandaoni!!
Hivyo sikiliza mwanzo mwisho na tuma maoni yako kupitia page ya Instagram shula_missbusiness au gusa icon ya Instagram kuingia moja kwa moja
Tembelea Instagram kwa maoni na ushauri
18 Dec 2021
Njia Bora za kumsahau mpenzi wa zamani(ex)
Swala zima la kuachana sio rahisi linaugumu wake na ishu nzima inaanza kumsahau MTU uliempenda Sana kwa moyo wako wote
Wengi bado huishi na maumivu na majuto but Leo hii ntakupa njia muhimu 10 zitazokusaidia kumsahau mpenzi wa zamani(ex) kwa urahisi zaidi!!
Kuwa nami mwanzo mwisho
Kwa maoni na ushauri nchek Instagram Tembelea hapa kwa ajili ya YouTube, ebooks, elimu ya ufugaji wa samaki, matatizo ya ngozi , blogs na mengineyo https://linktr.ee/Shula_missbusiness
18 Nov 2021
Vyakula hatari kwa afya ya ngozi yako
Mlo ni chanzo cha ngozi yenye mvuto. Hivyo ni vema ukazingatia mlo ili kuwa na ngozi yenye afya.
Leo nitazungumzia kuhusu vyakula hatari kwa ngozi yako hivyo kuwa nami mwanzo mwisho
Kwa maoni na ushauri nchek Instagram . Tembelea hapa kwa ajili ya YouTube, ebooks, elimu ya ufugaji wa samaki, matatizo ya ngozi , blogs na mengineyo https://linktr.ee/Shula_missbusiness
10 Nov 2021
Welcome to my podcast
Let learn and interact each other
8 Nov 2021
Jinsi ya kuwa na ngozi yenye mvuto kwa kutumia vyakula
Vyakula husaidia Sana kuongeza mvuto wa ngozi
Hivyo chimbuko la ngozi kuwa na mvuto ni vyakula tunavyokula kila siku
Sikiliza mwanzo mwisho
Tap icon hizo kunifollow Instagram
12 Oct 2021
Jinsi ya kuijua ngozi yako
Fahamu kila kitu kuhusu ngozi yako
Usipitwe!
Host of Love and Beauty Zone with Shula?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.