Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.

Nukta the Podcast
Claim This Podcastby Nukta Habari
Podcast Overview
Nukta Habari inakusogeza na mambo mtambuka yanayokuhusu ikiwemo burudani, mtindo maisha, safari, teknolojia na biashara.
Language

Publishing Since
6/18/2021
1 verified contact email on file for Nukta the Podcast
Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.
Recent Episodes

May 18, 2026
Part 1: Magari 10 yanayotumia mafuta kidogo

Huenda una ndoto ya kumiliki gari kali lenye muonekano wa kifahari, injini kubwa na nguvu barabarani. Pamoja na ndoto hiyo kubwa ila huna uhakika iwapo utaendelea kuwa na kipato cha kulihudumia muda wote.

Wasiwasi wako juu kulihudumia gari ni dhahiri kutokana na kuendelea kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli hususan miaka ya hivi karibuni.

Yafuatayo ni magari 10 yanayotumia kiwango kidogo cha mafuta kutokana na udogo wa injini kwa mujibu wa mafundi, waingizaji magari na tovuti za kampuni zilizotengeneza vyombo hivyo vya moto.

March 24, 2026
JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 6

Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.

Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao ambao huweka picha zenye mvuto, punguzo kubwa la bei na wenye maelfu ya wafuasi, hupotea bila kuwasilisha hata bidhaa moja.

Nyuma ya miamala hiyo kuna uchumi wa utapeli mtandaoni unaotumia ongezeko la uaminifu kwenye biashara mtandao kuhadaa watu na kunyonya kimyakimya mamilioni ya Shilingi kutoka kwa wanunuzi wa mtandaoni.

Uchunguzi uliofanywa na Nukta Habari kwa zaidi ya miezi minne kuanzia Agosti hadi Desemba, 2025 katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza, umebaini kuwa baadhi ya matapeli wanatumia ongezeko la imani ya wanunuzi kwenye biashara za mitandaoni kuwaibia fedha zao.

ZAIDI SOMA >> nukta.co.tzLINK: https://nukta.co.tz/matapeli-wanavyopora-mamilioni-ya-watanzania-mtandaoni-2

March 24, 2026
JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 5

79 total episodes available
Deep-dive analytics for Nukta the Podcast
Frequently asked questions
Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.
- What is Nukta the Podcast?
- How often does this podcast release new episodes?
This podcast updates bi-weekly.
- Where can I listen to this podcast?
This podcast is available on 7 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.
- Does this podcast accept guests?
Information about guest appearances is not available.
Legal Disclaimer
Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.