Kona ya Teknolojia - www.teknolojia.co.tz ni tovuti inayokuletea habari na maujanja ya teknolojia kwa lugha ya kiswahili.
Furahia mazungumzo kuhusu yanayojiri kuhusu teknolojia kila wiki.
@Sehemu ya TechMsaada,
www.techmsaada.com
Teknokona Group LTD.
Kona ya Teknolojia - S01E03 - Mokiwa - Visu vya Damascus
Ushawahi kusikia kuhusu visu vya Damascus?
Ingawa unaweza kusikiliza kama Podcast, ila kujionea vizuri na kuelewa tembelea akaunti yetu ya YouTube kuangalia episode hii.
26 Jul 2023
Kona ya Teknolojia - S01E02 - Mokiwa & Eric, Mada: Twitter sasa ni X, iOS 17, Apple vs UK, Samsung na simu za Foldable
Katika episode namba mbili kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu
Mabadiliko ya Twitter kuwa X, mipango ya Elon Musk na X.
Kizuri katika toleo la iOS 17 linalokuja hivi karibuni kwa watumiaji wa iPhone, iPad
Apple vs UK - Changamoto ambazo kampuni ya Apple wanazipitia nchini Uingereza zinazohusisha masuala ya kusalama na malipo kwa watengenezaji apps
Tukio la Samsung na ujio wa toleo jipya la simu za mkunjo
Usisahau kuungana nasi kupitia:
www.twitter.com/teknokona (https://podcasters.spotify.com/pod/dashboard/episode/www.twitter.com/teknokona)
www.instagram.com/teknokona (https://podcasters.spotify.com/pod/dashboard/episode/www.instagram.com/teknokona)
www.facebook.com/teknokona (https://podcasters.spotify.com/pod/dashboard/episode/www.facebook.com/teknokona)
www.instagram.com/techmsaada (https://podcasters.spotify.com/pod/dashboard/episode/www.instagram.com/techmsaada)
www.teknolojia.co.tz (https://podcasters.spotify.com/pod/dashboard/episode/www.teknolojia.co.tz) - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.
www.techmsaada.com (https://podcasters.spotify.com/pod/dashboard/episode/www.techmsaada.com) - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
20 Jul 2023
Kona ya Teknolojia - S01E01 - Mokiwa & Eric, Mada: AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework
Katika toleo la kwanza la Podcast kutoka Kona ya Teknolojia Tanzania, Stephen Mokiwa anafanya mazungumzo na Eric Emmanuel kuhusu habari na vitu vipya vinavyohusu teknolojia za AI, ChatGPT, Roboti Boston Dynamics, Threads vs Twitter, SmartEFD na Laptop za Framework.
Fahamu zaidi kuhusu ChatGPT (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/2AuD4Qy-Jh0 (https://youtu.be/2AuD4Qy-Jh0)
Fahamu historia ya Boston Dynamics (Youtube / Kona ya Teknolojia) - https://youtu.be/9TDFOelZN9c (https://youtu.be/9TDFOelZN9c)
Laptop za Framework - Framework | Framework Laptop 16 pre-orders are now open (https://frame.work/)
Usisahau kuungana nasi kupitia:
www.twitter.com/teknokona (www.twitter.com/teknokona)
www.instagram.com/teknokona (www.instagram.com/teknokona)
www.facebook.com/teknokona (www.facebook.com/teknokona)
www.instagram.com/techmsaada (www.instagram.com/techmsaada)
www.teknolojia.co.tz (www.teknolojia.co.tz) - Blogu namba moja kwa habari za kiteknolojia kwa lugha ya kiswahili.
www.techmsaada.com (www.techmsaada.com) - Huduma ya TEHAMA kwa njia ya kifurushi, kwa wafanyabiashara na makampuni.
Host of Teknokona - Kona ya Teknolojia?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.