Kulinda Taarifa Binafsi: Mazungumzo ya Kipekee na Bw. Imungy na Eng. Stephene Wangwe
FIRECHAT PODCAST kutoka @creditinfotz inakuletea mazungumzo ya kipekee kati ya Bw. @imungy - Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano wa PDPC, pamoja na Eng. Stephene Wangwe - Mkurugenzi wa Usajili na Uzingatiaji - PDPC. Kipindi hiki, kikiongozwa na mtangazaji @masoudkipanya, kinachambua kwa kina kuhusu umuhimu wa kulinda taarifa binafsi na sababu za kwa nini taarifa hizo zinatakiwa kulindwa.
#firechatpodcast #creditinfo #masoudkipanya
4 Dec 2024
Umuhimu wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa Jamii na Uchumi | Fireside Chat Podcast
Creditinfo Tanzania's CEO Edson Guyai and host Masoud Kipanya discuss the crucial role of National ID (NIDA) in empowering communities and driving economic growth.
4 Dec 2024
Creditinfo FIRESIDE CHAT Panel Discussions
Join us for an engaging and informative fireside chat where we discuss everything you need to know about credit! From understanding your credit score to managing debt, improving credit health, and navigating loans—this session will cover it all. Get expert advice, tips, and answers to your burning questions in real-time. Whether you're building credit, trying to boost your score, or simply curious, this is the perfect chat for you. Don't miss out!
#CreditInfo (https://www.youtube.com/hashtag/creditinfo) #firesidechat (https://www.youtube.com/hashtag/firesidechat) #FinancialTips (https://www.youtube.com/hashtag/financialtips) #CreditScore (https://www.youtube.com/hashtag/creditscore) #DebtManagement (https://www.youtube.com/hashtag/debtmanagement) #PersonalFinance (https://www.youtube.com/hashtag/personalfinance) #credithealth (https://www.youtube.com/hashtag/credithealth)
4 Dec 2024
Taarifa za Mikopo ni Nini?
Katika Episode ya kwanza ya Creditinfo Firechat Podcast, Mkurugenzi wa Creditinfo Tanzania Edwin Urasa anatuelezea kuhusu mwanzo wa taasisi ya Creditinfo na kazi zake nchini na duniani.
Ungana na Mtangazaji Masoud Kipanya katika kujua zaidi juu ya taarifa za mikopo, elimu ya fedha na mikopo nchini Tanzania.
4 Dec 2024
Fursa za Mikopo ya Elimu ya Juu
Karibu kwenye Kipindi Maalum cha Firechat Podcast! Katika kipindi hiki, tunachambua kwa undani masuala ya mikopo ya elimu ya juu. Dkt. Bill Kiwia, Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), anajiunga na Masoud Kipanya kwa mjadala wa kina kuhusu changamoto zinazowakabili wanafunzi na fursa zinazoweza kubadili maisha yao. Usikose! #FirechatPodcast (https://www.youtube.com/hashtag/firechatpodcast) #MikopoElimuYaJuu (https://www.youtube.com/hashtag/mikopoelimuyajuu) #HESLB (https://www.youtube.com/hashtag/heslb) #Creditinfo (https://www.youtube.com/hashtag/creditinfo)
9 Oct 2024
Taratibu za Utoaji Taarifa za Mikopo
Katika kipindi hiki, tunazungumzia masuala muhimu yanayohusiana na mikopo, ushirikiano wa kifedha, na maendeleo ya kiuchumi. Jiunge nasi kwa mazungumzo yenye kutoa mwanga na maarifa, huku tukijifunza jinsi ya kufikia malengo yetu ya kifedha. Usikose!
9 Oct 2024
Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. (Intro)
Kipindi Maalum (Podcast) kitakachoongelea masuala ya Elimu ya Fedha na Mikopo - Firechat Podcast. Host - @Masoud Kipanya
Contact Creditinfo Firechat Podcast.
Guest appearances
Does not typically book guests
Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.
Host of Creditinfo Firechat Podcast.?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine