Podcast thumbnail for EBM SWAHILI

by ERNEST B. MAKULILO

7 episodes
Updated Daily
Accepts GuestsHas SponsorsLocation πŸ‡ΊπŸ‡Έ

Podcast Overview

Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa. Ernest B. Makulilo Missouri, USA

Language

πŸ‡ΈπŸ‡Ό

Publishing Since

6/25/2021

1 verified contact email on file for EBM SWAHILI

Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.

Recent Episodes

Episode thumbnail for ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY

July 1, 2021

ELIMU YA CHUO KIKUU BURE NCHINI NORWAY

<p>Norway ni moja ya nchi ambazo zina mfumo wa ELIMU BURE, hakuna kulipa ada kwa mwanafunzi yoyote yule anayesoma katika chuo kikuu cha umma (Public University).</p> <p>Kama unataka kusoma ughaibuni, Norway ni moja ya nchi za kuzingatia, ambapo wewe kama mwanafunzi utajigharamia maisha yako tu (living expenses)</p>

Episode thumbnail for EBM SWAHILI (Trailer)

June 30, 2021

EBM SWAHILI (Trailer)

Episode thumbnail for JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 5)

June 26, 2021

JINSI NILIVYOKUJA MAREKANI (Part 5)

Kila mtu ana njia tofauti na safari yake ni tofauti na mwingine. Haya ni mahojiano kuhusu safari ya Ernest Makulilo kuja Marekani na maisha ya Ughaibuni yapoje kwake

7 total episodes available

Deep-dive analytics for EBM SWAHILI

Frequently asked questions

Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.

What is EBM SWAHILI?

Podcast hii inatoa elimu ya mambo yanayohusu maisha ya ughaibuni (nje ya nchi, overseas life), upatikanaji wa udhamini wa elimu ya juu (scholarships), uandishi wa vitabu na kuuza kwenye mitandao kama Amazon, Barnes and Norbles nk. Na pia jinsi ya kupambana na maisha na kufanikiwa

Kuachilia kutoa elimu hii, tutakuwa tunafanya mahojiano na watu mbalimbali ambao watakuwa wanatoa uzoefu wao, changamoto na mafanikio waliyofikia. Hii italeta hamasa kwa wengine kufuata njia zao na kufanikiwa.

Ernest B. Makulilo Missouri, USA

How often does this podcast release new episodes?

This podcast updates daily.

Where can I listen to this podcast?

This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.

Does this podcast accept guests?

Yes, this podcast regularly features guests.

Legal Disclaimer

Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.

All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.

We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.

While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.

By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.