Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies.
This is ‘Open Forum' aims to encourage dialogue and spread digital awareness on different issues by providing a platform on which ideas, creativity, thoughts and questions can be expressed and tackled in an open environment.
Kama ungepewa nafasi ya kuunganisha akili yako moja kwa moja na kompyuta ungekubali?
Teknolojia ya Neuralink imeleta uwezekano huo… lakini gharama yake ni ipi? Je, ni uwezo zaidi au ni udhibiti zaidi katika maisha ya binadamu?
🎧Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza.
Jibu hilo liko kwenye episode yetu mpya hosted by @jackline_mgina & @maria_ukhotya
🎬 Producer: @ombloxgenius
Follow us:
📲 Instagram: @eleven_digital255
📘 Facebook: @eleven_digital255
🔗 LinkedIn: @eleven_digital255
#TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast #AkiliBandia #Neuralink #FutureTalks #DigitalAfrica
26 Mar 2025
"Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi Wa Kidijitali Utakaokufungulia Milango"
Fursa za Teknolojia 2025: Ujuzi wa kidijitali kutoka AI hadi Cybersecurity, tunachambua mustakabali wa kidijitali na fursa zake.
🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza
Hosted By Jackline Francis & Maria Ukhotya
Producer Jeremiah Ombelo
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255
#TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast"
9 Mar 2025
Wanawake, Mapinduzi Na Teknolojia: Mahojiano Maalum na Asha Abinallah
Katika #ElevenDigitalThePodcast, tunazungumzia nafasi ya wanawake katika teknolojia, changamoto wanazokutana nazo, na jinsi ya kuwawezesha zaidi.
Je, jamii inaweza kufanya nini kusaidia wasichana wengi zaidi kuingia kwenye teknolojia? Sikiliza podcast yetu kwa maarifa na msukumo zaidi! 🎙️
#WomenInTech #DigitalRevolution
📲 Instagram | Facebook | LinkedIn: @eleven_digital255
Contact Eleven Digital The Podcast
Guest appearances
Books guests
Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.
Host of Eleven Digital The Podcast?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine