Kipindi kinachohusisha mijadala na mahojiano kuhusu Akili Hisia yaani Emotional Intelligence. Sikiliza upate kufahamu umuhimu wake na namna unvyoweza kuijenga na kuitumia Emotional Intelligence kwenye maisha yako ya kila siku.

Emotional Me Swahili
Claim This Podcastby Peter Thadeo
Podcast Overview
Kipindi kinachohusisha mijadala na mahojiano kuhusu Akili Hisia yaani Emotional Intelligence. Sikiliza upate kufahamu umuhimu wake na namna unvyoweza kuijenga na kuitumia Emotional Intelligence kwenye maisha yako ya kila siku.
Language
πΈπΌ
Publishing Since
9/12/2020
1 verified contact email on file for Emotional Me Swahili
Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.
Recent Episodes

November 30, 2020
Upweke na Remi
<p>Wengi huitazama hisia ya Upweke kwa mtazamo hasi lakini episode hii itakufundisha namna ya kuitazama hisia kama fursa ya kutambua mahusiano sahihi kwako pamoja na mbinu ya kukabiliana na Upweke. Zaidi utajifunza kupitia maisha ya Education Specialist Remi ambaye alikabiliana na changamoto hii ya upweke.</p>

October 22, 2020
Jinsi ya Kukabiliana na Stress
<p>Fahamu zaidi kutoka kwa mwanasaikolojia mzoefu kuhusu stress na njia bora za kukabiliana nayo. Na kwa namna ya kipekee jinsi Stress ilivyogeuka kuwa Fursa na kubadilisha maisha Banker mzoefu, bwana Stephen Matinya.</p>

October 8, 2020
Ielewe zaidi Hofu
<p>Hofu ni sawa na alarm ya mwili kwenye maisha, ikitoa taarifa za hatari na kukumbusha yale yalio muhimu zaidi. Sikiliza episode hii ufahamu zaidi kutoka kwa Mwanasaikolojia mzoefu ni kwa namna gani Hofu huifanya kazi hiyo ya alarm pamoja na mengine muhimu kuhusu hisia ya Hofu.</p>
8 total episodes available
Deep-dive analytics for Emotional Me Swahili
Frequently asked questions
Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.
- What is Emotional Me Swahili?
- How often does this podcast release new episodes?
This podcast updates daily.
- Where can I listen to this podcast?
This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.
- Does this podcast accept guests?
Yes, this podcast regularly features guests.
Legal Disclaimer
Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.
