
Innocent Morris
Claim This Podcastby Innocent Morris
Podcast Overview
<p>Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi</p>
Language
πΈπΌ
Publishing Since
3/25/2022
Reach the team behind Innocent Morris
Verified contact details for this show aren't on file yet β sign up to get notified when they land.
Recent Episodes

June 28, 2026
THAMANI YA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ni ya thamani sana? - Innocent Morris
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza kuhusu thamani kuu ya Damu ya Yesu Kristo na kwa nini ilimwagika kwa ajili yetu. Biblia inatufundisha kwamba kupitia Damu ya Yesu tumepata msamaha wa dhambi, ukombozi, upatanisho na Mungu, na ushindi dhidi ya nguvu za giza. "Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake." Waefeso 1:7 Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujen...

June 24, 2026
KUSUDI LA DAMU YA YESU | Kwa nini Damu ya Yesu ilimwagika? - Innocent Morris
Send us Fan Mail Katika somo hili, utajifunza KUSUDI LA DAMU YA YESU na kwa nini Yesu Kristo alilazimika kumwaga damu yake msalabani, kusudi la Damu ya Yesu linahusu matumizi ya nguvu ya kiroho ya damu hiyo ili kupata ushindi na ulinzi katika maisha ya kila siku. Misingi yake mikuu inajumuisha: Ukombozi na Msamaha: Damu ya Yesu ilimwagika ili kuondoa dhambi na kutoa mamlaka ya kushinda nguvu za giza. Ulinzi wa Kiroho: Inatumika kama ngao dhidi ya mashambulizi ya kiroho na magonjwa. Kufunguliw...

May 31, 2026
DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris
Send us Fan Mail Karibu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Ubarikiwe sana. Innocent Morris Contact: +255652796450 (WhatsApp) Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect
121 total episodes available
Deep-dive analytics for Innocent Morris
Frequently asked questions
Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.
- What is Innocent Morris?
<p>Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi</p> - How often does this podcast release new episodes?
This podcast updates bi-weekly.
- Where can I listen to this podcast?
This podcast is available on 10 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.
- Does this podcast accept guests?
No, this podcast does not typically feature guests.
Legal Disclaimer
Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.
