Jamvi la Mahaba

Jamvi la Mahaba

Jahazi la Mahaba

4.0from 1 ratings

tz

Unclaimed — is this your show?

11
Episodes
1
Ratings
2020
First episode

About Jamvi la Mahaba

Tunakukaribisha sana kwenye Jamvi letu matata la mahaba. Hii ni trailer tu , tunakulete full episodes hivi karibuni. Tunaomba SUBSCRIBE au JIUNGE na KUSHARE uweze kuwa wa kwanza kutusikiliza na pia kuwapa ndugu, jamaa na marafiki nafasi ya kung'arisha mahusiano yao . Kumbuka kuna zawadi nono kwa watu 10 wa kwanza kusubscribe . Tunapatikana pia YouTube kwa jina hili hili Jamvi la Mahaba Unaweza pia kutupata kwa namba ya simu 0653672399 Social Media : Facebook , Instagram na Youtube kote jina ni @jamvilamahaba Tunakupenda Sana!

Publisher
Jahazi la Mahaba
Category
society & culture
Language
sw
Explicit
No
First episode
30 Jun 2020
Latest episode
25 Feb 2021

Latest episodes

11 episodes in the feed.

  1. 25 Feb 2021

    Utajuaje kama una zile quality au vigezo unavyovitamani na kuhitaji kutoka kwa mwenza wako mtarajiwa

  2. 13 Feb 2021

    Happy Valentine!! Valentine inamhusu nani ? Na ni zawadi gani ya kumpa umpendaye?

  3. 2 Nov 2020

    Jinsi ya kunogesha penzi lako

  4. 15 Sept 2020

    Uhusiano wako na Exs wako uko vipi kwasasa? Kuna ulazimu wowote? Je ukaribu kati yako na wapenzi wako wa zamani ni sawa?

  5. 22 Aug 2020

    Je ni sawa kuishi na mpenzi wako kabla ya ndoa?

  6. 1 Aug 2020

    Je unayajua mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kushiriki tendo la ndo na mwenza wako?

  7. 27 Jul 2020

    Je, katika mahusiano ni bora mwenza wako akuache kwa vitendo au akuambie ukweli tu pale ambapo anaona mambo yamefikia tamati?

  8. 18 Jul 2020

    Je ni sawa kumsimulia mpenzi wako mpya historia ya mahusiao yako ya zamani ?

  9. 12 Jul 2020

    UNYANYASAJI WA KIJINSIA

  10. 4 Jul 2020

    Sababu zinazopelekea mtu au watu kuwa na wapenzi au wenza zaidi ya mmoja

  11. 30 Jun 2020

    Kiboko ya Mapenzi

Reach and audience

Public platform figures. Ratings count people who left a rating, not total listeners.

Apple Podcasts (US)
4.0 / 5
1 ratings

Contact Jamvi la Mahaba

Guest appearances
Does not typically book guests

Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.

Host of Jamvi la Mahaba?

Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.

Claim this podcast

Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.

Explore this show
Podcast research with Pod Engine

See plans