Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa mara ya pili kwa Maji na Roho." Kina upekee kwenye mada hii. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinaeleza waziwazi maana ya kuzaliwa mara ya pili na jinsi ya kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho kwa mujibu wa Biblia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa mwakilishi wa wanadamu wote na mzao wa Haruni, Kuhani Mkuu. Haruni aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa Azazeli na kupitisha dhambi zote za mwaka za Waisraeli kwake katika Siku ya Upatanisho. Hii ilikuwa kivuli cha mambo mema yajayo. Ubatizo wa Yesu ni mfano wa kuweka mikono. Yesu alibatizwa kwa njia ya kuwekwa mikono katika Yordani. Hivyo Yesu alizichukulia mbali dhambi zote za ulimwengu kupitia ubatizo Wake na akasulubiwa ili kulipa kwa ajili ya dhambi hizo. Lakini Wakristo wengi hawajui ni kwa nini Yesu alibatizwa na Yohana Mbatizaji katika Mto Yordani. Ubatizo wa Yesu ndio neno kuu la kitabu hiki na sehemu muhimu sana ya Injili ya Maji na Roho. Tunaweza kuzaliwa mara ya pili kwa kuamini tu ubatizo wa Yesu na Msalaba Wake.

JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO?
Claim This Podcastby The New Life Mission
Podcast Overview

Language
🇸🇼
Publishing Since
1/12/2023
1 verified contact email on file for JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO?
Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.
Recent Episodes

October 6, 2025
Dibaji
Inatupasa kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho Mungu(God), hapo mwanzo alipoumba mbingu na nchi, Yeye pia aliumba ulimwengu wa milele, mbingu na jehanamu. Yeye pia aliumba mwanadamu kwa mfano Wake Mwenyewe. Hata hivyo, kwa kuwa mwanadamu wa kwanza, Adamu, alitenda dhambi mbele za Mungu(God), watu wote imewapasa kufa mara moja. “Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu” (Waebrania 9:27).Kifo cha miili yetu ndiyo njia ya kupita kwenda kwenye uzima wa milele. Wale wasio na dhambi wataingia katika ulimwengu wa milele wa mbingu na kufurahia milele furaha ya kuwa mtoto wa Mungu(God), ilhali wenye dhambi watatupwa katika “ziwa la moto na kiberiti” (Ufunuo 20:10) na watateswa mchana na usiku milele na milele. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35

October 6, 2025
1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23)
Kwanza, ningependa kufafanua dhambi ni nini. Kuna dhambi zilizofafanuliwa na Mungu(God), na kuna dhambi zilizofafanuliwa na wanadamu. Neno dhambi, kwa Kigiriki, lina maana ya ‘kukosa shabaha.’ Linamaanisha kutopata sawa. Ni dhambi tusipoyafuata amri za Mungu(God) kwa usahihi. Hebu kwanza tuangalie dhambi kama zilivyofafanuliwa na wanadamu. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35

October 6, 2025
2. Binadamu huzaliwa wakiwa wenye dhambi (Marko 7:20-23)
Kabla sijaendelea, ningependa kukuuliza swali. Unajifikiriaje wewe mwenyewe? Je, unadhani wewe ni mzuri kiasi au mbaya kiasi? Unafikiri nini?Watu wote wanaishi chini ya udanganyifu wao wenyewe. Huenda wewe si mbaya sana kama unavyofikiri, wala si mzuri sana kama unavyofikiri.Basi, unadhani ni nani ataishi maisha bora ya imani? Je, ni wale wanaojiona kuwa wazuri, au wale wanaojiona kuwa wabaya?Ni wale wa pili. Kwa hiyo, ni nani aliye na uwezekano mkubwa zaidi wa kukombolewa: waliotenda dhambi nyingi au waliotenda dhambi chache tu? Wenye dhambi nyingi wana uwezekano mkubwa zaidi wa kukombolewa, kwa sababu wanajijua kuwa wenye dhambi. Wanaweza kukubali vyema zaidi ukombozi ambao Yesu aliwaandalia. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35
20 total episodes available
Deep-dive analytics for JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO?
Frequently asked questions
Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.
- What is JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO??
- How often does this podcast release new episodes?
This podcast updates daily.
- Where can I listen to this podcast?
This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.
- Does this podcast accept guests?
No, this podcast does not typically feature guests.
Legal Disclaimer
Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.