Welcome to Michongopodcast, we are passionate about exploring the diverse realms of finance, entrepreneurship, and digital opportunities. Our Podcast serves as a platform for knowledge sharing, inspiration, and practical insights, bringing together the best of these interconnected fields. Our mission is to empower our readers with valuable information, expert perspectives, and actionable content that drives personal and professional growth in the digital age.
Through our podcast, we invite you to embark on a journey of exploration and learning.
Karibu michongopodcast, leo tunaongelea kuhusiana na cryptocurrency tukiwa na mtaalaam wa blockchain Eng Kandenda balete akitufahamisha zaidi karibuni.
11 Jan 2024TRANSCRIPT
Uwekezaji Halal kwa kufata kanuni za dini.
Karibu michongopodcast, katika episode hii tunajadili uwekezaji halal yani uwekezaji unaofata kanuni za dini ya kiislam, tupo na mgeni wetu bwana Salum Awadh akiwa ni mtendaji mkuu wa SSC captal, utapata fursa ya za uwekezaji zinazokubaliana na maadili ya kiislam.karibu tujifunze zaidi.
5 Nov 2023TRANSCRIPT
Uwekezaji katika hatifungani.
karibu katika sehemu ya tano ya tukiongelea uwekezaji katika hatifungani mgeni wetu ni afisa mtendaji wa exodus advisory Bw, Ramadhan Kagwandi akituelezea zaidi kuhusu uwekeza katika hatifungani.
21 Oct 2023
Uwekezaji Faida fund
Karibu katika episode ingine ya michongo podcast, katika season hii ya michongo ya uwekezaji tutakua tunaongelea uwekezaji faida fund tupo na afisa masoko Mr Obadia Erasto akituelezea zaidi kuhusu faida fund na jinsi ya kuwekeza.
16 Oct 2023
Uwekezaji katika mifuko ya UTT amis
UTT amis ni ufupisho wa Unit Trust of Tanzania asset management and investment services ikiwa ni kampuni inayojohusisha na uendeshaji wa mifuko ya uwekezaji wa pamoja, kwa sasa kuna mifuko sita unaweza kusikiliza episode ya podcast hii kuelewa kuhusiana na mchongo huu wa uwekezaji UTT amis.
7 Oct 2023
Uwekezaji katika hisa.
Hisa ni sehemu ya umiliki katika kampuni fulani, uwekezaji katika hisa ni kati ya uwekezaji muhimu sana katika fedha kwa maana ni njia ya kupata kipato cha mpito, mtaalamu na mchambuzi wa maswala ya uwekezaji kutoka Orbit securities anatuelezea kuhusiana na uwekezaji kwenye hisa karibu kwenye mchongo wa Uwekezaji kwenye Hisa
30 Sept 2023
Elimu ya fedha/Personal finance.
Karibu michongo podcast, sehemu yetu ya kwanza inazungumzia elimu ya fedha kabla ya kuingia katika Uwekezaji, ni muhimu kujua elimu ya fedha tupo na mtaalamu ambaye ni Edmund Munyagi personal finance coach akitufahamisha kuhusiana na elimu ya fedha binafsi yani personal finance.
Tembelea tovuti yetu www.michongopodcast.com
kwa taarifa zaidi unaweza kusubcribe kupata maudhui zaidi kupitia link hapo chini
unaweza kutusurport kupitia Voda lipa namba 5859111
19 Jun 2023
Episode “Zero” Intro.
In this episode we introduce Michongopodcast, a podcast about finance, Entrepreneurship and Digital economy. First season “Michongo ya uwekezaji” coming soon…
Inside a recent episode
Fahamu kwa undani kuhusu cryptocurrency
Published 19 Jan 2024 · Transcript excerpt
[…] Ziko za ina nyingi. Lakini mana nyingi majina ya nao tumika makubwa ni mawiri. Crypto coin. or Crypto Tokens, but it is called Cryptocurrency. When it is called Coin or Token. The other thing, it is called Coin, which is Cryptocurrency, which is called Coin. It is called Coin. It is called Coin. […]
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine