Podcast thumbnail for Naweza Show

by Naweza Show

22 episodes
Updated Daily
Accepts GuestsHas SponsorsLocation πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Podcast Overview

Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni | Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni | Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usiku Kipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)

Language

πŸ‡ΈπŸ‡Ό

Publishing Since

3/26/2019

1 verified contact email on file for Naweza Show

Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.

Recent Episodes

Episode thumbnail for Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 10:Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito

June 8, 2020

Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 10:Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito

<p>Hapa tunakuletea simulizi kutoka kwa Salome. Binti huyu alikuwa na ndoto ya kuwa fundi cherehani lakini aliozeshwa na familia akajikuta akipata mtoto na ndoto kupotea ilionekana kama ndoto yake ilikuwa matatani lakini baadae Salome alifanikiwa, Je alifanyaje?</p>

Episode thumbnail for Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 9: Umuhimu wa kumnyonysha mtoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo bila kumpa kitu chochote..

June 8, 2020

Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 9: Umuhimu wa kumnyonysha mtoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo bila kumpa kitu chochote..

<p>inakuletea simulizi kutoka kwa Chagu. Mama mkwe wake na Chagu hakuona umuhimu wa Chagu kumnyonyesha mwanae mchanga maziwa yake tu kwa miezi sita ya mwanzo, ni yapi yalimsibu chagu baada ya hapo.</p>

Episode thumbnail for Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 8: Umuhimu wa kumpeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo na kujenga kinga ya mwili wake.

May 14, 2020

Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 8: Umuhimu wa kumpeleka mwanao katika kituo cha kutolea huduma za afya ili apate chanjo na kujenga kinga ya mwili wake.

<p>Hapa tutasikiliza simulizi ya Maua na mumewe Kingolile hawa wawili hakukamilisha ratiba za chanjo ya mtoto wao hivyo ikawapelekea kumuuguza kwa mda mrefu.</p>

22 total episodes available

Deep-dive analytics for Naweza Show

Frequently asked questions

Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.

What is Naweza Show?

Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi!

Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza.

Sikiliza kipindi cha Naweza | Radio Free Afrika kila Jumamosi saa 11 jioni | Radio TBC Taifa kila Jumapili saa 11:30 jioni | Radio One kila Jumamosi saa 2:15 usiku

Kipindi cha Naweza Show kinaletwa kwenu na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma (HPS)

How often does this podcast release new episodes?

This podcast updates daily.

Where can I listen to this podcast?

This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.

Does this podcast accept guests?

No, this podcast does not typically feature guests.

Legal Disclaimer

Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.

All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.

We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.

While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.

By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.