MTAJI (Capital), ni changamato kwa watu wengi. Katika podcast hii, nachambua aina ya mitaji na namna ya kupata mtaji-pesa
26 Aug 2025
MLANGO WA SITA (6) MAHUSIANO
Kuna ugonjwa unaitwa relational illness. Ukiwa na rafiki mwenye tabia fulani, anaweza kukwambukiza tabia zake (59%-105% probability).
26 Aug 2025
MLANGO WA TATU (3); VIDEO NA AUDIO
Imani huja kwa kuskia na kuskia zaidi. Kupitia video na audio, utaongeza imani ya kuthubutu na kufanya mambo makubwa.
26 Aug 2025
MLANGO WA NNE (4); MENTORS
Mlango wa wakafunzi ni muhimu sana. Kuna msemo wa wachina unasema kwamba "ukitaka kujua njia, waulize waliokuttangulia."
26 Aug 2025
HITIMISHO (CONCLUSION)
All in all, hii milango 7 itakusaidia kuongeza thamani yako. Fanyia kazi ulichojifunza kuanzia leo.
26 Aug 2025
MLANGO WA SABA(7); TATHMINI BINAFSI
Huwezi kujua ulipofika bila kujua ulipotoka. Self evaluation is very important. Fanya tathmini katika maeneo yote ya maisha yako. Tumia wheel of life.
26 Aug 2025
MLANGO WA TANO (5); SAFARI
Kusafiri ni hazina ya kupata maarifa katika mazingira tofauti. Kusafirini kama kufungua kurasa za kitabu cha maisha yako. Safiri uone mengi.
26 Aug 2025
MLANGO WA KWANZA (1);VITABU
Mlango wa vitabu unapita kwenye msemo wa READERS ARE LEADERS. Kuna taarifa nyingi zimejificha kwenye vitabu. Kila taarifa au maarifa unayptafuta yana kitabu kilichoandikwa. Kitafute
26 Aug 2025
MLANGO WA PILI (2) SEMINARS
Katika seminar kuna mambo matatu utapata. 1. Watu sahihi 2. Maarifa sahihi 3. Fursa
26 Aug 2025
UTANGULINZI; MILANGO 7 KUFIKIA UKUU WAKO
MILANGO 7 KUFIKIA UKUU WAKO ni kitabu ambacho kitakusaidia kuongeza thamani yako kwa kujua mambo 7 yanayopandisha maendeleo binafsi (PERSONAL DEVELOPMENT)
Contact Rodrick's Podcast
Guest appearances
Does not typically book guests
Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.
Host of Rodrick's Podcast?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine