Dr Joyce Minja, mtaalamu mwenye uzoefu mpana katika masuala ya uongozi na usimamizi wa taasisi, alipata nafasi ya kushiriki nasi katika The Coy Podcast (Episode 07) ambapo tulifanya mazungumzo ya kina yaliyojikita katika uongozi ndani ya taasisi na kampuni.Katika mjadala huo, alichambua dhana ya uongozi wa kisasa kwa mtazamo wa kitaaluma, akieleza umuhimu wa uongozi wenye maono (visionary leadership), uwajibikaji (accountability), na uwezo wa kufanya maamuzi ya kimkakati katika mazingira yenye ushindani. Aidha, aligusia nafasi ya mawasiliano bora, ujenzi wa timu imara, na usimamizi wa rasilimali watu kama nguzo muhimu za mafanikio ya taasisi.Kwa muda mfupi tulio nao, tumepata maarifa yenye uzito mkubwa—yakiunganisha nadharia na uzoefu halisi—yanayoweza kutumika kama mwongozo kwa viongozi wa sasa na wanaotarajia kuongoza katika mazingira ya biashara na taasisi mbalimbali.
25 Jul 2024
Mezani S1EP06: Na Sheikh Kipozeo
Ni maarufu kwa jina la Sheikh Kipozeo ikiwa jina lake halisi ni Hilali Makarani tulipata wasaa wa kupiga nae stori kutokea mezani kwetu kupata madini juu ya mambo mbalimbali.
Hakika kwa dakika chache tulizokuwa nae tumepata mawili matatu ya kuzingatia kama elimu kutoka kwa wakongwe kama Sheikh Kipozeo.
19 Jun 2024
Mezani S1EP05: Na Kundi la Men's Talk
Kwenye epsode hii ya leo nimefanya mazungumzo na kundi la Men's Talk na majadiliano yetu yalilalia upande wa namna ya kutimiza malengo na kuweka akiba ilikufikia mafaniko.
Karibu kusikiliza ili kujifunza na kukuamsha kwenye haraka za kufikia malengo yako.
1 Mar 2023
Mezani S1EP04: Na Marthin Kimanga - Jambazi Mstaafu
Asilimia kubwa ya maisha yetu yapotunayojifunza kupitia maisha yetu binafsi lakini kupitia maisha ya watu wanaotuzunguka kwa yale walioyapitia.
Mezani kwetu leo tumepiga stori na Marthin Kimanga ambae ameshuhudi namna alivyokuwa jambazi na kufanya matukio makubwa ya ujambazi na namna alivyojiingiza kwenye ushirikina ili kijilinda kwenye matukio waliyokuwa wanayafanya.
Karibu kusikiliza na tujifunze.
14 Feb 2023
Mezani S1EP03: Na Dada Sauda
Kuelekea siku ya wapendanao mezani kwetu tumepiga stori za mahusiano na Dada Sauda.
6 Feb 2023
Mezani S1EP02: Na Empire Mlosi
Watu wengi wanafanya mazoezi lakini hawaoni matokeo kwa wakati sahihi, mezani leo tunachambua na kupiga stori juu ya namna nzuri ya kufanya mazoezi.
29 Jan 2023
Mezani S1EP01: Namna sahihi ya kuanza kufanya Mazoezi.
Kwenye episode yetu hii tumeweza kuzungumza namna ambavyo mtu anaweza kuanza mazoezi kwa usahihi na kuyafurahia mazoezi.
Contact The Coy Podcast
Guest appearances
Books guests
Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.
Host of The Coy Podcast?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine