Karibu na ungana nami tujifunze umuhimu, faida/hasara na mengine mengi kuhusu Internet, Websites, Web Design & Development na Web Hosting kwa lugha ya Kiswahili.
Maisha baada ya Chuo | Pressure na Stress za Graduates baada ya kumaliza shule na nini kifanyike
Kama wewe ni college graduate, then umekuja sehemu sahihi, hii ni episode kwa ajili yako. Unachopitia kwa sasa haupo peke ako. Ndugu, wazazi na marafiki zetu wana matarajio makubwa sana na sisi baada ya kumaliza shule/chuo, wanatarajia kwamba tutapata kazi na kuanza kuwasaidia. Changamoto inakuja pale mambo yanapokwenda mrama.
Ungana nami Raymond John IG @ raywesovu, tukiwa pamoja na graduates mbalimbali tukizungumzia changamoto tunazopitia graduates.
Kwa maoni na ushauri, usisite kutuma kwenda namba 069 369 0371 / Email: ray@crefati.com / Bonyeza hapa kutuma voice message yako (https://anchor.fm/raywesovu/message)
/
Connect with me on Instagram @raywesovu (https://instagram.com/raywesovu)
26 Sept 2021
Internet na Afya | Kwa namna gani Internet inaweza tumika kuokoa maisha hasa kwenye sekta ya Afya?
Karibu na ungana nami pamoja na wataalam wetu tukizungumza kuhusu. kwa namna gani matumizi sahihi ya internet kwenye sekta ya Afya hasa kwenye hospitali inaweza tumika kuokoa maisha. "Telemedicine" na "telehealth", je ni wakati sahihi sasa kwa Africa pia kuwa na teknolojia za namna hiyo? Listen, Enjoy & Learn - The Fantasy Web Swahili Podcast.
Tips na contents zaidi kama hizi, usisite kutembelea blog.crefati.com (https://blog.crefati.com)
Kwa maoni na ushauri, email: biz@crefati.com | Phone Number: +255693690371
15 Sept 2021
Njia 3 bora za kukuza biashara yako kupitia matumizi ya Internet | The Fantasy Web Podcast
Internet ina umuhimu mkubwa sana kwenye ukuaji wa biashara yako, kama utatumia njia sahihi basi utajihakikishia wingi wa wateja kupitia uwepo wa biashara yako mtandaoni. Ungana nami Raymond John kwenye The Fantasy Web Podcast nikiwa na wageni wangu Jacque, Belinda na Mr. Hamadi kwenye kuchambua njia tatu bora zaidi za kutumia kukuza biashara yako kupitia internet.
Kwa tips zaidi kama hizi, tembelea www.crefati.com | Maoni na ushauri Email: biz@crefati.com | Phone: +255693690371 | IG@raywesovu
12 Sept 2021
The Fantasy Web (Trailer)
Contact The Fantasy Web
Guest appearances
Books guests
Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.
Host of The Fantasy Web?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine