Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amesema yakwamba tume ya Pamoja iliyobuniwa na mataifa ya Kenya na Uganda, kwa kutumia michoro ya ramani ya kabla ya uhuru ilibaini wazi yakwamba kisiwa cha Migingo kiko katika ardhi ya Kenya na hivyo basi wavuvi wakenya hawafai kutatizwa na walinda usalama kutoka taifa Jirani la Uganda kila wanapofanya kazi yao ya uvuvi katika kisiwa hicho.
Philip Miyawa anaripoti zaidi
4 May 2023
MAFURIKO KISUMU: WAKAAZI WAOMBWA KUHAMIA MAENEO YA JUU
Wakaazi wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika kaunti ndogo za Nyando na Kadibo huko Kisumu wametakiwa kuhamia katika maeneo salama na vituo vya uokoaji . Ombi hili lilitolewa na Kaimu Kamishna wa Kaunti ya Kisumu Hussein Alanson Hussein ambaye aliongoza timu ya Kamati ya Usimamizi wa mikasa ya dharura ya Kaunti kutathmini athari za mafuriko katika maeneo hayo.
Philip Miyawa ana zaidi...........
4 May 2023
4,500 HOUSEHOLDS DISPLACED BY FLOODS IN KISUMU
Residents living in floods affected areas of Nyando and Kadibo Sub-Counties in Kisumu have been asked to move to safe grounds and the evacuation centers to avert loss of lives. The request was made by Kisumu Acting County Commissioner Hussein Alanson Hussein who led the County Disaster Management Committee team to assess the impact of the floods in the two sub-counties.
Philip Miyawa reports.........
Contact Voice Of Philip Miyawa
Guest appearances
Does not typically book guests
Based on episode analysis; this does not confirm that the show is currently accepting guests.
Host of Voice Of Philip Miyawa?
Claim your podcast to manage its listing and keep your show details accurate.
Pod Engine is an independent podcast discovery and analytics service and is not affiliated with or endorsed by this podcast. Artwork and show content belong to their owners. Full legal notice.
Explore this show Podcast research with Pod Engine