Podcast thumbnail for Watushule Swahili Podcast

Watushule Swahili Podcast

Claim This Podcast

by Waafrika wanaofikiria.

10 episodes
Updated Daily
Accepts GuestsHas Sponsors

Podcast Overview

Podikasti ya Watushule Tunafikiri, basi tunakuwa. Watushule ni podikasti kwa watu wanaotaka kuishi maisha yenye mwelekeo na uelewa mzuri. Kila kipindi kinazungumzia mambo muhimu yanayoathiri maisha yetu — kama kusudi, nidhamu, utambulisho, kazi, na hali halisi ya maisha ya Mwafrika katika dunia ya leo. Hii si motisha. Hii ni fikra. Kama unahisi kuna zaidi katika maisha kuliko yale uliyozoea au kuambiwa… basi hii ni sehemu sahihi kwako.

www.watushule.com

Language

Publishing Since

3/23/2026

1 verified contact email on file for Watushule Swahili Podcast

Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.

Recent Episodes

Episode thumbnail for Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.

May 31, 2026

Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.

Kanuni ya ufanisi wa Pareto inasema asilimia themanini ya matunda inatokana na asilimia ishirini ya mbegu au juhudi. Hii ni kwenye kazi, biashara, mahusiano au afya yako.

This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com

Episode thumbnail for Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi.

May 24, 2026

Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi.

Pesa, ujuzi na mahusiano vinahitaji kukua. Na namna bora zaidi ya ukuaji ni kwa mfumo wa riba juu ya riba kwa pesa, ujuzi juu ya ujuzi na mahusiano juu ya mahusiano. Hili ni wazo la compounding kwenye maisha ambaoo Albert Einstein aliwahi kusema ni ajabu la nane la dunia.

This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com

Episode thumbnail for Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.

May 14, 2026

Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.

Watu wengi tunafanya maamuzi binafsi kwa kufuata mkumbo wa watu. Tunaogopa kufanya maamuzi yetu au tunakubali kufanya maamuzi ya familia na jamii kwa kuogopa kuoishana nao.

Madhara ya maamuzi hayo huwa yanarudi kwetu na yanakuwa na mdhara ya muda mrefu sana au ya milele. Kwenye episode hii tutaangalia namna ya kujifunza kufikiria kinyume na makundi au kujiuliza kama maamuzi unayofanya ni binafsi au ni ya mhemko.

Tutaangalia concept mpya za contrarian thinking na secondnorder thinking.

This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com

10 total episodes available

Deep-dive analytics for Watushule Swahili Podcast

Frequently asked questions

Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.

What is Watushule Swahili Podcast?

Podikasti ya Watushule

Tunafikiri, basi tunakuwa.

Watushule ni podikasti kwa watu wanaotaka kuishi maisha yenye mwelekeo na uelewa mzuri. Kila kipindi kinazungumzia mambo muhimu yanayoathiri maisha yetu — kama kusudi, nidhamu, utambulisho, kazi, na hali halisi ya maisha ya Mwafrika katika dunia ya leo.

Hii si motisha. Hii ni fikra.

Kama unahisi kuna zaidi katika maisha kuliko yale uliyozoea au kuambiwa… basi hii ni sehemu sahihi kwako.

www.watushule.com

How often does this podcast release new episodes?

This podcast updates daily.

Where can I listen to this podcast?

This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.

Does this podcast accept guests?

No, this podcast does not typically feature guests.

Legal Disclaimer

Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.

All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.

We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.

While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.

By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.