Podcast thumbnail for Wimbi la Siasa

Wimbi la Siasa

Claim This Podcast

by RFI Kiswahili

86 episodes
Updated Daily
Accepts GuestsHas Sponsors

Podcast Overview

<p>Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa</p>

Language

🇸🇼

Publishing Since

10/23/2024

1 verified contact email on file for Wimbi la Siasa

Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.

Recent Episodes

Episode thumbnail for Maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania yatafanikiwa ?

August 5, 2026

Maridhiano ya kisiasa nchini Tanzania yatafanikiwa ?

Nchini Tanzania, maneno maridhiano na Katiba mpya, yameendelea kutawala  vinywa vya wanasiasa na wananchi wa taifa hilo  baada ya uchaguzi mkuu uliokumbwa na vurugu wa Oktoba mwaka 2025. Hivi karibuni, rais Samia Suluhu Hassan alikutana nna viongozi wa vyama vya siasa na kutangaza mpango wa maridhiano na mchakato wa katiba mpya. Je, haya yanawezekana bila ushiriki wa chama cha upinzani CHADEMA, ambacho kiongozi wake Tundu Lissu, amezuiwa jela kwa sababu ya kesi ya uhaini ?

Episode thumbnail for Kenya: Je, Seneta Edwin Sifuna anataka kuwania urais 2027 ?

July 29, 2026

Kenya: Je, Seneta Edwin Sifuna anataka kuwania urais 2027 ?

Kuelekea uchaguzi mkuu nchini Kenya 2027, nyota ya kisiasa ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna inaonekana kuanza kung'aa. Sifuna aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ODM, sasa anaongoza vuguvugu linaloitwa Linda Mwananchi. Je, Sifuna ameanza kutembea kwenye viatu vya aliyekuwa kiongozi shupavu wa kisiasa, Marehemu Raila Odinga. Tunachambua.

Episode thumbnail for Je, mazungumzo ya kitaifa nchini DRC yatafanyika ?

July 22, 2026

Je, mazungumzo ya kitaifa nchini DRC yatafanyika ?

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi amekubali kuanzisha mazungumzo ya kitaifa kujadili mivutano ya kisiasa likiwemo suala la kuibadilisha katiba na changamoto za kiusalama mashariki mwa nchi hiyo. Tayari muungano wa maaskofu wa kanisa katoliki CENCO na ule wa makanisa ya Kiprotestanti, wameanza mashauriano na wadau mbalimbali kuhusu mchakato wa mazungumzo ya kitaifa.  Je, mazungumzo hayo yatafanyika? Tunachambua na wanasiasa wa DRC.

86 total episodes available

Recent guests on Wimbi la Siasa

Guests from recent episodes — sign up to see every guest that has ever appeared on this show.

Ruben Lukumbuka

Guest

Profesa Pacifique Malonga

Guest

Francois Alwende

Guest

Riek Machar

Guest

General Olivier Gasita

Guest

Fatma Ali

Guest

Vladimir Putin

Guest

Volodymyr Zelenskyy

Guest

Deep-dive analytics for Wimbi la Siasa

Frequently asked questions

Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.

What is Wimbi la Siasa?
<p>Makala ya Wimbi la Siasa inakupa fursa ya kufahamu masuala ya kisiasa yanayoendelea ndani na nje ya Bara la Afrika. Kwenye Makala haya utapata habari ambazo zinakugusa moja kwa moja wewe msikilizaji. Kila wakati usikose kusikiliza Makala ya Wimbi la Siasa</p>
How often does this podcast release new episodes?

This podcast updates daily.

Where can I listen to this podcast?

This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.

Does this podcast accept guests?

Information about guest appearances is not available.

Legal Disclaimer

Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.

All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.

We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.

While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.

By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.