Podcast thumbnail for Changu Chako, Chako Changu

Changu Chako, Chako Changu

Claim This Podcast

by RFI Kiswahili

90 episodes
Updated Weekly
Accepts GuestsHas SponsorsLocation 🇫🇷

Podcast Overview

<p>Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.</p>

Language

🇸🇼

Publishing Since

3/20/2024

1 verified contact email on file for Changu Chako, Chako Changu

Pitch yourself as a guest, propose sponsorships, or reach out directly to the host.

Recent Episodes

Episode thumbnail for Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wabembe na kifo cha mwanamuziki Mr Gave

July 19, 2026

Changu Chako: Historia ya watu wa kabila la Wabembe na kifo cha mwanamuziki Mr Gave

Karibu katika Makala yrtu ya leo jumapili change chako chako change Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuletea kwa mara nyingine tena historia ya watu wa kabila la wabembe. Na kwenye Muziki nitakuletea historia ya mwanamuziki Mista Gave aliefariki dunia juma hili huko Uvira. Mazishi ya msanii Gave yamepangwa kufanyika Julai 22 hapo Uvira. mimi ni Ali Bilali mtangazaji asiependa makuu, Bienvenue, ama karibu.

Episode thumbnail for Changu Chako Chako Changu: Historia ya Siku ya kimataifa ya Kiswahili Julai 12 2026

July 12, 2026

Changu Chako Chako Changu: Historia ya Siku ya kimataifa ya Kiswahili Julai 12 2026

Karibu katika makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya lugha ya kiswahili. Na kwenye muziki nitakuletea muziki kutoka bendi ya Lelele Afrika kutoka Mombasa nchini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue, ama Karibu.

Episode thumbnail for Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026

July 5, 2026

Changu Chako Chako Changu: Miaka 16 ya matangazo ya RFI Kiswahili Julay 5 2026

Karibu katika Makala yetu ya leo change chako chako changu maalum kabisa kuhusu kumbukumbu ya miaka 16 tangu kuzanzishwa kwa matangazo ya idhaa ya Kiswahili ya RFI yalianza kurindima Julay 5 mwaka 2025 Mubashara jijini Dar es salaam nchini Tanzania kabla ya kuhamia jijini Nairobi baadae. Utawasikiliza baadhi ya watangaezaji, lakini pia nitakuletea burudani ya Muziki kutoka nchini Kenya Otile Brown na kibao chake kipya kabisa NI wewe. Mimi ni Ali Bilali Bienvenue. Insert………

90 total episodes available

Recent guests on Changu Chako, Chako Changu

Guests from recent episodes — sign up to see every guest that has ever appeared on this show.

Ali Bilali

Guest

Ali Kiba

Guest

Deep-dive analytics for Changu Chako, Chako Changu

Frequently asked questions

Have a different question and can't find the answer you're looking for? Reach out to our support team by sending us an email and we'll get back to you as soon as we can.

What is Changu Chako, Chako Changu?
<p>Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.</p>
How often does this podcast release new episodes?

This podcast updates weekly.

Where can I listen to this podcast?

This podcast is available on 4 platforms including Apple Podcasts, Spotify, and more. You can also use the RSS feed directly.

Does this podcast accept guests?

Yes, this podcast regularly features guests.

Legal Disclaimer

Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.

All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.

We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.

While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at hey@podengine.ai for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.

By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.