by RFI Kiswahili
<p>Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.</p>
Language
🇸🇼
Publishing Since
8/26/2024
Email Addresses
1 available
Phone Numbers
0 available
April 27, 2025
Karibu kuungana nami katika makala changu chako chako changu leo jumapili ambapo nakuletea Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Thomson the voice kutoka nchini Burundi, mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Karibu.
April 13, 2025
Kwenye makala haya utapata kufahamu mahakama hii ya Jadi nchini Kenya kutoka Kabila la Wameru ambayo inakubalika na serikali katika utatuzi wa mizozo mbalimbali kutoka jamii ya wameru. Utapa pia kufahamu historia ya msanii kutoka nchini Ufaransa Hiro le Coq.
March 27, 2025
Ni Jumapili nyingine tunakutana tena katika Makala haya Changu Chako Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, Utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea historia ya siku ya kimataifa ya nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa, ama Organisation internationale de la francophonie. Nitakuletea pia ratiba za shughuli za kitamaduni kupitia vituo vya utamaduni wa Ufaransa vya Ukanda, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Frederic Francois.
Pod Engine is not affiliated with, endorsed by, or officially connected with any of the podcasts displayed on this platform. We operate independently as a podcast discovery and analytics service.
All podcast artwork, thumbnails, and content displayed on this page are the property of their respective owners and are protected by applicable copyright laws. This includes, but is not limited to, podcast cover art, episode artwork, show descriptions, episode titles, transcripts, audio snippets, and any other content originating from the podcast creators or their licensors.
We display this content under fair use principles and/or implied license for the purpose of podcast discovery, information, and commentary. We make no claim of ownership over any podcast content, artwork, or related materials shown on this platform. All trademarks, service marks, and trade names are the property of their respective owners.
While we strive to ensure all content usage is properly authorized, if you are a rights holder and believe your content is being used inappropriately or without proper authorization, please contact us immediately at [email protected] for prompt review and appropriate action, which may include content removal or proper attribution.
By accessing and using this platform, you acknowledge and agree to respect all applicable copyright laws and intellectual property rights of content owners. Any unauthorized reproduction, distribution, or commercial use of the content displayed on this platform is strictly prohibited.